Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Unajua kama nakutafuta?Safi saaaaanaa[emoji115] [emoji115]
Eimen!Huku kwema kabisa. Tumshukuru Mungu na tumwombe Atufikishe mwaka mpya 2018, na mingine mingi ijayo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahaha mbona walimu wapo wengi tu hasa wale viongozi wa kwaya makanisani.Kinacho nitesa sijui kuimba,nyimbo nazo sizijui.Ila napenda saaana kuimba.
Ukisikia sehemu kuna mwalimu wa kuimbisha nistue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]