Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-02-14-02-26.png
 
UJUE UGONJWA WA TETENASI (TETANUS).
Tetenasi (tetanus) ni ugonjwa unaotokea sana maeneo ya AFRICA na kuathiri idadi kubwa ya watu, na unasababishwa na Bacteria anaejulikana kwa jina la Clostridium tetani anaepatikana ardhini (kwenye mchanga au udongo), na kwenye vinyesi vya wanyama na binadamu.
 
Kwa kawaida hawa bacteria wanaosababisha Tetenasi wanaishi katika utumbo mdogo wa binadamu au wanyama na wanatoka ndani ya mwili wa binadamu au mnyama aliye athirika pamoja na kinyesi kisha wanatengeneza vijimbegu (spores) ambavyo vinaweza kustahimili mazingira ya nje.
 
Back
Top Bottom