Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ugonjwa wa tetenasi unaweza kumpata mtu pale ambapo huyu bacteria (Clostridium tetani) ameingika katika mwili wa binadamu kupitia kwenye kidonda kilichopo katika sehemu yeyote ya mwili wake.
Hizi ni aina za vidonda ambavyo bacteria wa tetenasi anaweza kuingia:-
 
Kidonda ambacho hakipo katika hali ya usafi.
2. Kidonda kilicho chimbika sana.
3. Kidonda kilichotokana na moto (kuungua) chenye mzunguko wa damu chache.
4. Kidonda kilichotokana na Upasuaji uliofanywa navifaa ambanyo siyo salama (havikuoshwa vizuri na kutunzwa mbali na mazingira ambayo bacteria wanaweza kukaa na kuzaliana)
 
Kwa watoto wachanga katika kitovu kilichokatwa ambacho bado hakijapona na pia vifaa ambavyo siyo salama vilivyotumika kukata kitovu.
7. Kwa mwanamke aliyetoa mimba au kujifungua kwa kutumia vifaa ambavyo sio salama
8. Kidonda kinachotoa usaa au majimaji.
 
DALILI ZA UGONJWA WA TETENASI
Zifuatazo ni dalili ambazo zitamtokea mtu ambae tayari ameisha athirika na ugonjwa wa Tetenasi:-
1. Misuli ya taya kukakamaa na kupelekea mtu kushindwa kufumbua mdomo.
2. Kisha misuli ya mwili mzima kukakamaa.
 
Maumivu mwili mzima.
4. Kumeza chakula n.k kwa shida au kushindwa kumeza kabisa.
5. Kupumua kwa shida.
6. Kwa watoto wachanga dalili ya kwanza ni mabadiliko ya ghafla ya hali ya mtoto aliyekua anaendelea vizuri, kisha ikifuatiwa na dalili hizo hapo juu.
 
Kufanya upasuaji mzuri wa kidonda ili kuondoa uchafu ndani ya kidonda.(hii inafanywa na mtaalamu wa Afya)
2. Kupata chanjo ya Tetenasi ili kuzuia ugonjwa tetenasi isiweze kutokea.
 
7b526652209e920eb9b4f822198aaf9c.jpg
 
Back
Top Bottom