Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wakina nani haoWakware wa Uzi huu..
HahahahaWaungwana wa uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kila postLikes
DuNi kweli kuna Mtanzania amekutwa amekufa kwenye ndege ya Shirika la Ethiopia akiwa amemeza dawa za kulevya. Tunaendelea kufuatilia kujua jina lake na amezitoa wapi hizo dawa,” amesema.
Sianga akizungumza na MCL Digital leo Desemba 5,2017 amesema taarifa hizo walizipata jana na kwamba wanaendelea kufuatilia.
Hatari sanaSimu mpya za iPhone X zilizoingia dukani Novemba 3,2017 iwapo kioo chake kitavunjika utalazimika kutumia dola 275 za Marekani sawa na wastani wa Sh607,500 ili kupata kipya.
Hapo sawaHata hivyo, mmiliki anaweza kuikatia bima simu hiyo wakati akiinunua kwa kuongeza dola 199 wastani wa Sh439,790 na atapewa stika maalumu itakayomwezesha kupata kioo kipya bure pale kitakapovunjika.