Mkuu ukimgundua huyo tupe ID yake yaani tangu SAA NNE Mimi nagonga like za nyuma zote na tangu 4624 na sasa nimefika 5058Wabinafs
Kweli mwambie lakini mpe likeDemigod empty zako zinaboa
Kumbe atupie likes na sisi tutakuwa hatumpi likesdemigod jifunze kutoa like kwa wenzio sio we una post tu
Kichwa kichafu embu nisaidie kujua huyu jamaa watu wanalamika atoi likes demigodUbinafs haujawah kumwacha mtu salama
Usisumbuke. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kitaja na kitajwa. Watu wa Linguistics mpo?hii dunia ya ajabu sana eti kisukari ni ugonjwa lakini kipilipili ni nywele [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]