Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siipendi hii tabia binafsi ipo sana uswahili
 
Ajitokeze mtu mmoja kwenye uzi huu afadhili party ya kufungia mwaka. Na Masaki Peninsula full kipupwe money loves me wallahi ingependeza zaidi. Mzee wa River upo? Tunataka party mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] hapo nikiwa najongea taratibu kuelekea kwenye party
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…