Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaa, eti ijue nguvu ya buku! Kweli vyuma vimebana! [emoji1][emoji1]
Kama hukutajirika wakati wa "Mr. Dhaifu" au Mzee Rukhsa katika nchi hii basi tena ndo imetoka hiyo. Watu walikuwa wanaiba waziwazi kila miezi mitatu shopping za Dubai na New York. Zote hizo leo zimebaki story tu...Kazi ipoooo !!!
 
9be45db6b81c1bcb5d9c9024fff4e7ca.jpg
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] hapo nikiwa najongea taratibu kuelekea kwenye party
Tuwalazimisheni Mzee wa Liver au Andjul wasimamie hii party bana....
 
Kama hukutajirika wakati wa "Mr. Dhaifu" au Mzee Rukhsa katika nchi hii basi tena ndo imetoka hiyo. Watu walikuwa wanaiba waziwazi kila miezi mitatu shopping za Dubai na New York. Zote hizo leo zimebaki story tu...Kazi ipoooo !!!

Safi sana lakini! Ni vizuri kama watu watajifunza kuishi kwa kipato chao halali, na hasa kinachojulikana source yake! Kwema huko mkuu? Naona kiama cha huku kimeanza, baridi la kukata na shoka! Kipindi hiki huwa najiskia kuimiss sana Nansio! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom