Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hamia huku. Na majira ya hurricane yameshapita. Huko mnakula baridi huku ikifika 40 watu wanalia na kujisiliba makoti...

Kuna kipindi nilijichanganya nikaenda Minnesota wakati wa winter we. Unaamka aisee mbupu huzioni kudadadeki. Nilijisingizia ugonjwa wakaniachia nikatimka streiti Koromije. Pole sana ila ukiwa na Kaandaeitini kenzako majira haya ndo yanafaa kuifanya Yego clan iwe global brand....

[emoji117][emoji117][emoji117]Nimeona Seneta Franken naye amesalimu amri kama mwenzake Conyers jana. Ila wale jamaa wahafidhina akina Moore na akina Trump wanadunda tu. Pathetic !!!
 
Kama hukutajirika wakati wa "Mr. Dhaifu" au Mzee Rukhsa katika nchi hii basi tena ndo imetoka hiyo. Watu walikuwa wanaiba waziwazi kila miezi mitatu shopping za Dubai na New York. Zote hizo leo zimebaki story tu...Kazi ipoooo !!!
Sasa sisi ambao hatukitajirika kipindi hiko sijui ndo tutakufa masikini[emoji20][emoji20][emoji20]
 

Hahaaa eti mbupu huzioni, ni hatari sana aisee! Ila huko nako majira ya hurricanes ni balaa! California wenyewe moto tu, shida kweli! Hivi viandaeitini bana ni kukaa navyo mbali. Havifai hivi, viking’ang’ania havitoki! [emoji23][emoji23][emoji23] Republican kimekuwa Chana cha hovyo kabisa, mambo ya ethics wameyatupilia mbali! Franken nae bhana, alifikilia bado yuko Saturday Night Live! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…