Kwa mfano, tiba za jadi za kichina wanaamini kwamba upungufu wa lunula inaonyesha dalili ya upungufu wa damu au utapiamlo, wakati pale au rangi ya blue ya lunula inaonyesha dalili ya ugonjwa wa kisukari.
5. Kwa ujumla, Lunula inaeleza ugonjwa wa mtu kwa namna ya mabadiliko ya rangi au kwa kufifia zaidi au kutoonekana.
Baada ya mtu kupona maradhi yake basi lunula itaanza kuonekana tena.