Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
...I fail but one day I will win!Again and again
..haviendi pamoja!pilau na like
My Queen kula likesHahahaha
Kweli kabisaHuu uzi utaweka record humu ndani naona una speed kubwa sana sijapata kuona
Karibu sanaNapokea mialiko ya kula msosi ktk Eid
RecordedUsiseme 'Utaweka'. Sema Umeweka Rekodi.
Kwanza Pata Like za Eid
Spidi bila likes haina maana yo yote. Toa likes kamata likes...Huu uzi utaweka record humu ndani naona una speed kubwa sana sijapata kuona
HahahahahahahaaSio cool, too obvious, ukila na kipofu usimguse mkono
YesSpidi bila likes haina maana yo yote. Toa likes kamata likes...
Kweli mwambie lakini mpe like
Wengi hawatoi likes. Ndiyo maana mi nakumbusha tena na tena- toa likes pokea likes!Kichwa kichafu embu nisaidie kujua huyu jamaa watu wanalamika atoi likes demigod
Mbona unabaguaKaribuni Eid ila kwa wadada tu
Ndio nawatafutaYaani wanataka likes ila hawataki kutoa shabaaah[emoji35] [emoji35]
Usiondoke pokea hiyoNimekuja kutoa likes tu na kuondoka
KaribuHodi humu ndani
...of anything except money (and probably nyembu) is harmful!Too much