Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yes. Mwili wa mwanamke (anayejielewa) is sacred. Unique, chanzo cha uhai, upendo wa kweli....
YeahYes. Mwili wa mwanamke (anayejielewa) is sacred. Unique, chanzo cha uhai, upendo wa kweli....
Jamaa anapenda sana majungu, kama kweli amegongwa itakuwa sawa tu. Na yule mkuu wao ni kama anakubaliana na ulimbukeni wa mtu huyo maana anashindwa hata kumdhibiti kwa maslahi ya taasisi yaoHuyo huyo anazingua sana. Kuwa huru majadiliano ni ya wote wala haina haja ya kusema samahan