Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo naona unagawa shikamoo ka njugu. Nami naomba ya kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera zakeGOOD NEWS - Mchezaji Cristiano Ronaldo wa Real Madrid amejishindia tuzo ya Mchezaji Bora Barani Ulaya usiku huu ikiwa ni mara ya Tano kupata tuzo hiyo. - Ronaldo alishinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2008 na kisha kushinda miaka ya 2013, 2014 na 2016.
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]Shikamoo yako imenisisimua. Haya,endelea kupiga stori na mkoromije mwenzio.Usiku mwema[emoji120] [emoji120] kwenu
Mkuu habari,Shikamoo yako imenisisimua. Haya,endelea kupiga stori na mkoromije mwenzio.Usiku mwema[emoji120] [emoji120] kwenu