Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-07-13-15-37.png
 
Nane na mwisho; Timiza wajibu wako.
Ukitimiza wajibu wako, iwe ni kazini, nyumbani au katika jamii unakuwa mwepesi na inakupunguzia mawazo ambayo mara nyingi huondoa hisia za furaha ndani yako.

Usikubali kuhahirisha mambo fanya mara moja yakamilike ili uwe mwepesi kuanza majukumu mengine ukiwa huna kiporo cha majukumu. Kwa kufanya hivyo kila mara utajikuta mtu mwenye furaha na akili iliyotulia, kitu ambacho ni chema sana katika kukufikisha kwenye mafanikio.
 
Yaani ndo somo pekee linalo nifanya niwe makini ikiwa tu,namaanisha kuwa "ikiwa tu" linamuhusisha kwa namna moja au nyingine mama yetu "konokono"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Niaje Numbisa[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
Naisubiria shikamoo yangu
Hahahaha shikamoo mjomba andjul
 
Back
Top Bottom