Sio hukuili unikamate kwa kutumia mjusi![]()
Yaani ndo somo pekee linalo nifanya niwe makini ikiwa tu,namaanisha kuwa "ikiwa tu" linamuhusisha kwa namna moja au nyingine mama yetu "konokono"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KWANZA Konokono ni mdudu asiye na mfupa hata mmoja mwilini mwake na kazi kubwa ya jumba lake ni kumsaidia mwendo na kuulinda mwili wake na mawaa.
Kama nimemuona mlugaluga wa Tukuyu humu! [emoji23][emoji23]
Nitakusubiri[emoji6][emoji6]Leo sijui kwa nini nimeingia humu! Miti yote inateleza! Nitarudi saa za wanga! [emoji124][emoji124]
HahahaahCc: andjul yego kapatikana leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ndo somo pekee linalo nifanya niwe makini ikiwa tu,namaanisha kuwa "ikiwa tu" linamuhusisha kwa namna moja au nyingine mama yetu "konokono"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niaje Numbisa[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
Naisubiria shikamoo yangu
Mzee kwema huko?[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]
Kweli tupu !!!!!!!
Safi mamaangu,kwema hukoShemeji mambo vipi?
Mzee wa masongi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akikuitikia mwambie namshikamia(namuamkia)[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mzee kwema huko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Guluguja wamekua adimu siku hizi. Bwagamoyo bana, watu wanakuangalia kwenye karai la maji! [emoji1][emoji1]
Ni kweli sina...Na wiki jana tu hapa nimetoka kwenye comprehensive physical exam. Mavipimo yao yamedanganya nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha
HahhaHahhahahaah kwan hauna?