Unatesti zali eeeh!?Numbisa...[emoji101][emoji124][emoji124]
Sijambo kabisa carba sijui wewe?Macho yangu yameona abee[emoji38][emoji38][emoji38]
Hujambo lakin?
Hahaha shikamoo yego
Yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemnyong'onyeza sana.Yaani leo namvunja hadi kope za macho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upande wa baridi kali hahaLeo sijui nimeamkia upande gani, khaa! Haya, marhabaaa Numbisa! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Tena kapata shkamoo mara 2[emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Kwanza umeangukiwa na "naam"...
Pili umepigwa na " shikamoo"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] matumaini bado yapo?
Mambo vipi brother,habari ya huko
[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101] [emoji101]
Kaka kaka[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yaani huyu siku hizi haeleweki, sijui ni kwa ajili ya maparachichi ya Tukuyu? [emoji23][emoji23]
Kwisha habari yako shemeji[emoji23] [emoji23] [emoji23]Abee kaka
Oooooooh jamaniiiii !!!Naaam![emoji23][emoji23]
Uniacheeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani huyu siku hizi haeleweki, sijui ni kwa ajili ya maparachichi ya Tukuyu? [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa kategua nyonga ya mtuCc: andjul yego kapatikana leo[emoji23][emoji23][emoji23]