Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hatuwezi kudesa huko?
Sababu ni nini?
Kisasi + wivu aisee ni hatari tupu. Nyegere inasemekana ana vyote hivyo...
Kwema sana, ina maana hajarudi tu?Tulimwambia. Mogadishu siyo mahali salama. Hakutusikia. Al Shabab balaa tupu yaani. Kwema bageshi?
Anhaaa ndio maana nimemsaka sana Carba ila sijamuona.Tupo bageshi. Hapa kushabadilika. Ni kuvizia vizia mida ya jioni ndo utawaona wenyeji.
Jirani mpenzi14:09