Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hahahaha kumbe ndio zenusiku ya leo kila mwanaume anajua kubembeleza na anamapenzi ya dhati kwa mwenzie
Tulimwambia. Mogadishu siyo mahali salama. Hakutusikia. Al Shabab balaa tupu yaani. Kwema bageshi?Hv Bob alisharudi? And alitekwa mazima.
Sema braza...Haloo guyz
Tupo bageshi. Hapa kushabadilika. Ni kuvizia vizia mida ya jioni ndo utawaona wenyeji.Andjul najua upo.
Kaka shimba katibu wa kile chama. Na kina shemeji zangu wote nawasalim