Huu ubuyu hata mm ulinipita pamoja na uzururaji wanguKulikua na code ya ndoa ya flavy nasikia keshapata divorce
Jamaa amevuruga kabisa saikolojia ya mtoto kwa tamaa ya mwiliKweli maana mtoto kakatishiwa future nzima
Uwe hapa mara kwa mara maana ucheshi wako unatuliwaza sanaMajukumu tu, lkn nipo nanyi siku zote.
Hahaha jirani.Uwe hapa mara kwa mara maana ucheshi wako unatuliwaza sana
Inawezekana uliuona ila haukusoma comments za wapenda ubuyu maana wao ndio waliokua wanafungukaHuu ubuyu hata mm ulinipita pamoja na uzururaji wangu
Dah aisee nimepitwa kwakweli.Inawezekana uliuona ila haukusoma comments za wapenda ubuyu maana wao ndio waliokua wanafunguka
Mbona ubuyu hot hivi umenipita,mwee[emoji134][emoji134]Kulikua na code ya ndoa ya flavy nasikia keshapata divorce
Nipe link mamaInawezekana uliuona ila haukusoma comments za wapenda ubuyu maana wao ndio waliokua wanafunguka
Yaan na mm ndio niko nasikitika hapa. Dah, ukiupata uniite.Mbona ubuyu hot hivi umenipita,mwee[emoji134][emoji134]
Hahaha katika ubora wako. Hv andjul yuko wapi?Nipe link mama
Habari yako carbaHebu njoo kuna taarifa imenishtua moyo kule