Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa nchi hiyo Kim Jong Un amepiga marufuku sherehe za mwaka mpya amejaribu kufuta kuanzia siku ya Krismas ili kumuenzi Bibi aliyekuwa mwanaharakati wa nchi hiyo kipindi cha nyuma katika uongozi wa kikomonisti.
 
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amepiga marufuku sherehe za Krismasi na mwaka mpya kusherekewa nchini humo kwa mujibu wa habari ya India Times ni kuwa badala ya kusherekea kuzaliwa kwa Yesu kulingana na imani ya wakristo, raia nchini humo watatenga siku hiyo kumuenzi bibi ya Kim .
 
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
79b46e730f7043fae5e6bd822f2a1c25.jpg
 
Unapocheka au kulia mwili huweza kupitia mabadiliko ya kikemia na kifikia pia kutoa machozi au kucheka vyote vina faida kihisia, kimwili na ki-emotions.
 
AINA ZA MACHOZI
Kawaida kuna aina tatu za machozi ambayo binadamu yeyote huweza kutoa:
 
Back
Top Bottom