Hahahah nshabet likes siwez kimbia
Haya makitu mazuri sana (wenzio wameyabatiza eti ndo lugha ya Mungu) sema tu ufundishwaji wake ndo hovyo. Viboko vya mgongoni sana tu nilikuwa nanyukwa. Uonevu mtupu! Kuna kakitabu kanaitwa "Famous Mathematical Formulas Explained" yaani kanaeleza vizuri mpaka hata sisi vilaza tunaelewa kabisa.View attachment 646856
Haya makitu yanakukumbusha wapi?