Naye apunguze ili tufurahie uzi huu, maana sasa inaonyesha ni afadhari ya zile namba kuliko picha, inafikia kushindwa kumwagia mtu likes kisa picha inakupotezea muda. Sipati tabu kumwagia likes numbisa maana post zake ziko poa. Sasa page kama haifunguki inabidi utafute inayofunguka ucheke kidogo maisha yasonge. Ni hivyo tu mkuuMzee Ruta utambebea mbeleko gani na picha non stop za ipielo? Kwangu mimi nitapunguza hakuna tatizo...
Alaa, kumbe iko hivyo. Sawa mkuuMadictator wote duniani Wana tabia moja. Hawakosolewi. Ukiwakosoa wanakuua.