Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengine hawana uwezo wa kuona vizuri kutokana na kuwa na macho madogo.
 
Reactions: Soe
Lakini Wana uwezo mkubwa wa kunusa na kusikia Licha ya wengine kuwa na macho madogo na kushindwa kuona vizuri, kakakuona ni mnyama mwenye uwezo mkubwa wa kusikia sauti yoyote kwa haraka kwa sababu masikio yake yameinuka. Pia, ana uwezo mkubwa wa kunusa harufu yoyote.
 
Reactions: Soe
Ni vigumu kujamiiana
Tofauti ilivyo kwa baadhi ya wanyamaa, upande wa kakakuona tendo kujamiiana ni gumu kutokana na tofauti za kimwili kati ya jike na dume. Mwili wa kakakuona dume una uzito mkubwa zaidi ya asilimia 50 ukilinganishwa na jike. Mbali na hivyo, hawana msimu maalumu kukutana na kujamiiana, tofauti na ilivyo kwa wanyama wengine.
 
Reactions: Soe
Uhusiano na wanyama wengine
Imezoeleka kuwa, mnyama huyo huwa karibu na wanyama wengine wa jamii yao, kwa maana ya wale wanaokula wadudu.
 
Hata hivyo, hivi karibuni wanasayansi wamebainisha kuwa wamekuwa karibu na wanyama kutoka jamii nyingine kama wale wanaokula nyama.
 
Hata hivyo, hivi karibuni wanasayansi wamebainisha kuwa wamekuwa karibu na wanyama kutoka jamii nyingine kama wale wanaokula nyama.
 
Ukiangalia zamani na sasa hivi kila kitu kinabadrika na Kadri siku zinavyokwenda watu wanahamasika kuachana na vyakula vinavyoweza kuongeza uzito mkubwa mwilini,
 
ni jambo jema kutambua madhara na kukabiliana nayo haraka kwani unene sio mzuri hata kidogo. Hii ndio sababu siku hizi utakuta watu wanafanya mazoezi kwa kasi sana ili kupunguza nyama zembe
 
Kwa kawaida mwili wa binadamu una mafuta ya aina mbili yaani mafuta meupe ambayo yanatumiwa kuhifadhi nishati na mafuta ya kahawia ambayo yenyewe huzalisha joto.
 
Tafiti zinaonesha mtu mnene anaweza kutumia njia sahihi ya kupunguza uzito kwa kufanya mafuta ya kahawia yazalishe joto jingi zaidi. Watafiti wa Chuo Kikuu cha Leipzig cha Ujerumani wamegundua njia mpya ya kupunguza uzito kupitia kupunguza mafuta kahawia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…