Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya. Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi …chunguza zaidi.
 
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.

Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
 
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.
 
Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili na binzari(spices) kwa wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimeng’enyui sawasawa linachoka.
 
Au mazoezi laini yanayofanywa kwa kukihimili (isometric) mathalan ukiweka mkono upande mmoja wa kichwa huku ukisukuma kichwa kisukumane na mkono, unafanya tizi la kuongeza nguvu ya shingo. Zoezi aina hii linaitwa Isometric.
 
Tizi la Yoga zuri sana maana limetulizana:


Pilates si tofauti sana na Yoga ni kama ndugu wa karibu. Ila Pilates inafafanua zaidi mambo mengine kama tumbo nene:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…