Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-10-17-48-29.png
 
Kamwone mganga wa moyo
Kama huna ugonjwa wa moyo angalia unavyokula. Je, unakula sana vyakula vya mafuta
Punguza ulaji wa mafuta au vyakula vizito jaribu kula zaidi samaki ambao huwa na mafuta yasiyoumiza mwili.
 
VITUNGU SAUMU VIBICHI vinasaidia sana kukinga moyo, matatizo ya mafuta, lakini tatizo ni harumu mbaya ya mdomo. Hivyo unaweza kuwa unachanganya na mboga nyingine za saladi unapokula mlo kila siku. Kama nyanya, matango, nk.
 
Mbali na ulaji suala la mapumziko ya kutafakari au kwa kimombo Meditation limefanyiwa utafiti na kuonekana kwamba linasaidia sana maradhi ya moyo, akili na “stress” ya mwili kwa ujumla. Jaribu hizi hapa chini, ukiweza dakika kumi hadi 20; mara mbili kwa siku, kufuatana na muda ulio nao.
 
Back
Top Bottom