Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-10-18-42-38.png
 
5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama ya Asali:

Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sana sasa.
 
6. Rangi ya Kahawia:

Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktari kama hali hii ikiendelea kujitokeza.
 
7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu:

Kama hujala matunda yoyote yenye asili ya uwekundu, basi huwenda una Damu kwenye kibofu chako cha mkojo. Inaweza ikawa sio ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara ya ugojwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia ya mkojo, au matatizo kwenye kibofu. Muone daktari haraka iwezekanavyo.
 
Tezi Dume (Prostate gland).

Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu.
 
Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru (rectum) na na chini kidogo ya kibofu cha mkojo. Tezi dume inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na uume (urethra).
 
  • Thanks
Reactions: Soe
Back
Top Bottom