Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tena hata muda wa kuweka posts mpya sina. Itakubidi ufukue makaburi huko nyuma yakiwemo mapicha usiyoyapenda ya miswambwanda (officially nimeshaacha kuyaweka na niliyonayo nimeyafuta yote) mpaka utimize hizo likes aisee. Nipo nimekunja nne tu hapa nasikiliza mahubiri ya Mwalimu Mwakasege. Ukikamilisha hilo zoezi lete mrejesho. Yote kwa yote tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hureee likes 70 na nyongeza 30 na kitu. Congrats shimbaaaa
Kweli kipigo si kizuri mana si kawaida yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Goodninght hahahaa hadi naaga leo duh
Hahahhahaa ki GIF kinachekesha kweli na nikipiga picha vijana wa koromije walivyo kajipatia kwel hahahaahLeo amekuwa kama andjul na hiko ki GIF[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa aiseee si mchezoKweli kipigo si kizuri mana si kawaida yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lala salama. Ningekuwa nakunywa walahi leo ningekesha. What a day [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Goodninght hahahaa hadi naaga leo duh
Ni wewe kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeamini '' ukitaka kujua historia ya shabiki wa mpira, timu yake ifungwe''Awilooo uuuhh awilooooo kemo kemo awilooooo tuutuuttuu hiii man u bana
Mara hii ushamaliza? Zote 100? Asante. Kapumzike sasa usikilizie maumivu ya kufungwa !!!Hahahahahahaa aiseee u made my night hahahaha. Nshamwaga likes zoteee
Lala salama. Ningekuwa nakunywa walahi leo ningekesha. What a day [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shamkware mama pesa mbogo akabigili mama kapesa bongo abobinga apesa mama ee abonga apesa mama..Ni wewe kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeamini '' ukitaka kujua historia ya shabiki wa mpira, timu yake ifungwe''
Umegeuka Awilo Longomba? Nikutumie nyimbo za Ng'wanakanundo zikuliwaze? Leo siku safi sana !!!Tubwisaaa tubwisaaaaa
Poaaa ngoja nikaote mpira umerudiswa na tumeshinda aiseee ntakuja kukudai likes zootee.Mara hii ushamaliza? Zote 100? Asante. Kapumzike sasa usikilizie maumivu ya kufungwa !!!