Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hureee likes 70 na nyongeza 30 na kitu. Congrats shimbaaaa
Tena hata muda wa kuweka posts mpya sina. Itakubidi ufukue makaburi huko nyuma yakiwemo mapicha usiyoyapenda ya miswambwanda (officially nimeshaacha kuyaweka na niliyonayo nimeyafuta yote) mpaka utimize hizo likes aisee. Nipo nimekunja nne tu hapa nasikiliza mahubiri ya Mwalimu Mwakasege. Ukikamilisha hilo zoezi lete mrejesho. Yote kwa yote tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Lala salama. Ningekuwa nakunywa walahi leo ningekesha. What a day [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeamini '' ukitaka kujua historia ya shabiki wa mpira, timu yake ifungwe''
Shamkware mama pesa mbogo akabigili mama kapesa bongo abobinga apesa mama ee abonga apesa mama..

Mlale salama bana. Bora kk hayupo duh angepigaje kelele
 
Mara hii ushamaliza? Zote 100? Asante. Kapumzike sasa usikilizie maumivu ya kufungwa !!!
Poaaa ngoja nikaote mpira umerudiswa na tumeshinda aiseee ntakuja kukudai likes zootee.

Ni sawa na mtu kakuota unamkera ndoton basi asubuh au siku inayofuatia jiandae kununiwa siku nzima kwa kosa la ndoton hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…