Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku kwema mama, lala salama [emoji120] [emoji120]Shamkware mama pesa mbogo akabigili mama kapesa bongo abobinga apesa mama ee abonga apesa mama..
Mlale salama bana. Bora kk hayupo duh angepigaje kelele
Hahahahaa nipo natafuta story za ngwanamalundi hapa kwenye maktaba yangu ya ndotonUmegeuka Awilo Longomba? Nikutumie nyimbo za Ng'wanakanundo zikuliwaze? Leo siku safi sana !!!
Haya. Madilu Multisystem na lisauti lake lile akikiweka hicho kibwagizo mbona raha tupu? Wala hutaweza kulala saa hizi sema tu unataka upumzike usikilizie pain kimya kimya...Shamkware mama pesa mbogo akabigili mama kapesa bongo abobinga apesa mama ee abonga apesa mama..
Mlale salama bana. Bora kk hayupo duh angepigaje kelele
Mkuu sema. Uliona kule kwako? Niendelee? Toa mwongozo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku kwema mama, lala salama [emoji120] [emoji120]
Nipo shem. Kwema huko. Niko hapa nafurahia "mateso" ya Numbisa...Nakushikamia shemeji[emoji112][emoji112][emoji112]