Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani umenifanya nianze kuwaza wakoromije wanachezaje[emoji23][emoji23][emoji23]halafu si nataka nione ukiyarudi jamani au picha inaonyesha mtu akiwa anacheza[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kucheza ni kipaji walah
Nshabadili gia angani. Sasa nayarudi kama Antombileke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
c9721a0ff35bbe3ef79ef1b995a94867.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemeji unanini lakini?
Umenichekesha ujue
Kucheka ndo vizuri shemeji. Tuliumbwa kucheka sema dhambi ilipoingilia kati ndiyo ikatuletea huzuni na vilio...

Antombileke Mwakiposa kama bado yupo subiri mashairi na miziki yenye lyrics zisizoeleweka !!!
 
Back
Top Bottom