Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

dd0c6337c792d73f0dea955fd5d3e591.jpg

Imbombo jhilipo kumbejhe
 
Nsha lala miee. Onyeshaneni tu hata sioni vizuri, kiuno kunlalia vibaya wallahi mifupa yangu ntaitia dosari.
Haya huyo wa kucheza yu wapi? Maana hapa nasimama wima ka picha ya bisimini kunsubiri huyoo mkoromije... Kijana anata tabu huyo zaidi ndimu ya maembe magichi.
Nshachoka mie nalala...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kalale tu kwakweli maana....
 
Ningependekeza tu urudi kulala kama mambo menyewe ni haya. Carba njoo uone mambo ya huyu shemejiyo. Anatatizwa na wowowo la beki tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona shemeji,yaani huyu ni changamoto[emoji23][emoji23][emoji23]eti wowowo ya beki3
 
Back
Top Bottom