Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama Jina la uzi "UZI MAALUM WA KUPEANA LIKES"

Tangu asubuhi uzi wetu pendwa uliofanya mapinduzi na maajabu kwa muda mfupi na utaendelea kulipua nyuzi nyingi humu JF.

Naomba kwa pamoja katika ulimwengu wetu na kijiji
chetu hiki turudi kwenye UZI wetu tukachafue LIKES za kutosha kwa mleta uzi
Jembekillo kwa pamoja.

Mda mfupi tu na tuendelee kulipua LIKES katika haka
kakijiji tulikokutanishwa kwa pamoja.

LIKE KIROHO SAFI TU



Jembekillo muanzilishi wa UZI PENDWA.
 
Labda tuwe tunaishi koromije, sio kwa misosi hiyo.
Mimi niletee pizza za KFC nimezimiss sana, ukishindwa basi sekela baby [emoji39]
Ugali wako wa dagaa nitakupikia bila shaka [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katoto wewe kwa vibites sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Nimebeba na pweza kutoka bagamoyo kaleta shangazi.. [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…