Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

STRESS NI NINI?;

Stress ni pale unsubiria ajira tangu 2014 hujapata halafu unakuja kupangiwa Kibiti.

Hapo lazima uimbe ule wimbo wa Darasa RUDI UTOTONI USIPOTEMBEA UTABEBWA MGONGONI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pilau makinikia ni
pilau ambalo inawezekana hama Nyama zipo kidogo au hakuna kabisa utafuta sahani yote na Nyama usione [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] linapikwa hasa kipindi hiki cha awamu hii pesa ikiwa imepotea
 
Back
Top Bottom