Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wee jamaa sasa hapo nimefikaje tena? Yaani kwa mihela ninayo pata nikawe hivyo.
Halafu nimepita kote huku sijaona mahali huko kwenye tu hawa agoo pameandikwa ...mwakaleli...maparachichi....
Kwa umri wangu wa miaka 64 nanyuka pamba za kiujana kabisa,yaani parachichi linajichora kabisa likiwa mfukoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…