Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwema mkuu? Uko salama maana si kwa biti hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikimuona anabinua midomo na nikamsoma anamjibu hivyo mke wangu, nitamrapua mikofi ya mgongo na mateke ya kwenye mbupu hadi ataomba ajinyee kupunguza maumivu...shwuuaaniii zake
Sawa lakini usiwalazimishe kukariri haya matemperecha. Hayana maana kwao.Nimekachukua kapicha kwa ajili ya wapwa zako.
Habari yako ndugu yangu,huku tunapambana na hali zetu kama kawaida