Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dk Mohamed anafafanua kwamba, mwili unaposhindwa kutengeneza insulin ya kutosha kupambana na ongezeko la sukari katika damu, kisukari cha mimba hutokea, mara nyingi hutokea mimba ikiwa na umri wa miezi mitano au zaidi na kwa kawaida huisha wiki sita baada ya mwanamke kujifungua.
 
Mtaalamu huyo anabainisha kuwa kupimwa kwa tatizo hilo husaidia mama kuanza matibabu mapema na kuondoa sukari iliyojaa katika kondo.
Anataja dalili za mwanamke mwenye kisukari cha mimba kuwa ni kuongezeka uzito siku za mwanzoni mwa mimba, kuwepo historia ya kuwa na kisukari katika familia,
 
kuwahi kujifungua mtoto mwenye uzito mkubwa na mimba kuharibika mara kwa mara.
Nyingine ni historia ya kisukari cha mimba, mkojo kuwa na sukari mara kwa mara, kuzaa mtoto mfu, uzito au unene uliokithiri, shinikizo kubwa la damu la muda mrefu au umri zaidi ya miaka 35.
 
Kuna mdau mmoja 2 hrs ago alisema eti huyu ni yule mzee wa Mwakaleli na hapo ni baada ya kuuza maparachichi (Akija ai emu finishidi) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi niliwaza hivyo lakini hapana wanyaki hawako hivyo hawa ni wahaya kabisaaa
 
Baada ya kugundulika na kisukari cha mimba, mama hushauriwa kutumia vyakula vya sukari visivyofyonzwa kwa uharaka kama soda na juice, badala yake atumie matunda halisi yatakayomsaidia sukari yake kutopanda kwa uharaka na pia nyuzinyuzi za matunda zitamsaidia katika mmeng’enyo mzuri wa chakula.
 
Athari zitokanazo na ugonjwa huu
DK Mohamed anabainisha kuwa kuna hatari inayoweza kumpata mtoto atakapozaliwa ambayo ni kifo iwapo sukari yake itashuka kwa kasi, ndio maana mtoto mkubwa anapozaliwa hupewa glucose ili aendelee kupata ile sukari kwa kipindi fulani.
 
Back
Top Bottom