Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-11-20-22-47.png
 
Wee jamaa sasa hapo nimefikaje tena? Yaani kwa mihela ninayo pata nikawe hivyo.
Halafu nimepita kote huku sijaona mahali huko kwenye tu hawa agoo pameandikwa ...mwakaleli...maparachichi....
Kwa umri wangu wa miaka 64 nanyuka pamba za kiujana kabisa,yaani parachichi linajichora kabisa likiwa mfukoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariiii
Umesema nini kinajichora mifukoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shkamo babu
 
Back
Top Bottom