Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Umesema nini kinajichora mifukoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee jamaa sasa hapo nimefikaje tena? Yaani kwa mihela ninayo pata nikawe hivyo.
Halafu nimepita kote huku sijaona mahali huko kwenye tu hawa agoo pameandikwa ...mwakaleli...maparachichi....
Kwa umri wangu wa miaka 64 nanyuka pamba za kiujana kabisa,yaani parachichi linajichora kabisa likiwa mfukoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariiii
Cole[emoji112][emoji112]
Marhabaa mjukuu wangu mrembo.Habari ya majukumu binti mzuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesema nini kinajichora mifukoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shkamo babu
Salama kabisa babu tupo tunapambanaMarhabaa mjukuu wangu mrembo.Habari ya majukumu binti mzuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]