Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9834eca6cae5f3d9b5efdf2c11a73050.jpg
 
Wadada Mna Roho Mbaya Unakutana Na Mkaka Kwenye Magahawa Anakupa Ofa Ya Supu Ya Mbuzi..
Baadae Anakupatia Nauli Ya Tax..
Ila akikupa Namba Yake Unamsevu ''SUPU YA MBUZI

1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png

Yaan Wadada Mna Roho Mbaya Kama Aliyepanga Ratiba Ya Chelsea Na Barcelona
 
Back
Top Bottom