Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mbaya tena mbaya mno ila Mungu Yupo Anawapigania. Wewe vipi kwako?Hakika Mungu ni mwema.Kila kitu kipo sawa kabisa.
Unasemaje kuhusu hali ya kule ikiwa umewasiliana nao siku za karibuni
Huyu jamaa kumroga hata Mshana Jr anaweza kuchemsha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa njoo huku wanamtania Lukaku wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Da jiniazi wani. Wengaaaaa !!!