Hata mtoni[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa wasio na beach????
Gr8 kwa kweliHellow family...mmeshindaje humu
"...tukimaliza kula aondoke zake..." Kwa watu wa Saikolojia hapa tayari umeonyesha kusudio lako. Mfungo umeisha na dhambi zinarudi pale pale. Binadamu!Ndio nafika mwanza jaman natafuta manz mkali wakula nae eid sehem ya chakula kizur tukimaliza kula aondoke zake,
Tupo salama. Za tangu jana? Eid inaendeleaje? Umealikwa au umealika?Hellow family...mmeshindaje humu
Siyo ucoment pamoja sana bila kutoa like...pamoja sana
Tupo poaa mamy habar ya wewe...Hellow family...mmeshindaje humu
Likes basi!Tupo poaa mamy habar ya wewe...
Pokea like
Habar ya mimi ni njema kabisa...asante nimeipokea na wewe pokea hiiTupo poaa mamy habar ya wewe...
Pokea like