Salaam mzee wa pwani.Salaam Muungwana Andjul
Namshukuru munguSalaam mzee wa pwani.
Habari ya majukumu kiongozi
Mkuu, ulinisoma kule kwako?Salaam mzee wa pwani.
Habari ya majukumu kiongozi
Nipo kamanda. Mbali na pweza, ngisi, mahindi yaliyoungwa na maembe yenye pilipili, mnatunyima nini huko pwani?Salaam SHIMBA YA BUYENZE