Mungu ndo mfariji wa kweli siku zote,haijalishi ni magumu mangapi wapitia kikubwa ni kuendelea kumtumainia yeye....Kila jambo lipokelewe vile litakavyo kuja.
Mungu wetu aliye hai hutufariji pale tunapoona tumekwama matopeni.
Baadae hutukwamua na maisha yanaendelea[emoji120] [emoji120]
AmenMungu ndo mfariji wa kweli siku zote,haijalishi ni magumu mangapi wapitia kikubwa ni kuendelea kumtumainia yeye....