Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kweli tupu mkuu. Ni lazima tuwe na moyo mkuu...Na yeye hatatuacha !!!Kila jambo lipokelewe vile litakavyo kuja.
Mungu wetu aliye hai hutufariji pale tunapoona tumekwama matopeni.
Baadae hutukwamua na maisha yanaendelea[emoji120] [emoji120]
Kwema shemeji yangu?Shemeji...