Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilitumia "mama" kuspecify kuwa we ni ke.
Maana neno "mama" hutumika pia kumuelezea jinsia ya ke.

Samahani sana kama nilikukwaza kwa hilo neno "mama"



Nakuhadi sitadhubutu wala kujaribu kutumia hilo neno(MAMA) kwa kwako MKUU

Siku njema na eid njema MKUU.
Mkuu maneno meeeengi sana daaah......unazidi kuharibu tu!!!!!!!!!
 
IMG-20170626-WA0032.jpeg
 
Back
Top Bottom