Onesmo Kisanga, Daktari Bingwa wa Figo kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH), Kitengo kinachoshughulika na tiba ya usafishaji wa figo na damu(Renal Dialysis Unity) anasema kuwa tiba ya usafishaji wa figo kwa kitaalamu (Dialysis), uhusika na utoaji wa maji yaliyojaa mwilini, uchafu, pia sumu zitokanazo na vyakula au dawa.