Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maneno yako tuu mkuu yanaeza kumpa nafuu mgonjwa aliye ICU[emoji7][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125]
Yerewiii!
Nashukuru kwa kurudi God iz bae maana mwandiko wako unaendelea kunivuruga akili hadi nasahau kubofya kitufe cha like najikuta nimebofya cha quote.
Maneno yangu ni real zaidi ya ahadi za noah za mkulu kwa waTz.

Hebu naomba urudi tena tuendelee kuzungumza ili nieleze makinikia ya mapenzi yangu kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…