Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpe
Yerewiii!
Nashukuru kwa kurudi God iz bae maana mwandiko wako unaendelea kunivuruga akili hadi nasahau kubofya kitufe cha like najikuta nimebofya cha quote.
Maneno yangu ni real zaidi ya ahadi za noah za mkulu kwa waTz.

Hebu naomba urudi tena tuendelee kuzungumza ili nieleze makinikia ya mapenzi yangu kwako.
Mistarii laini ...
 
(19).jpg
 
Back
Top Bottom