Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hahahahaa tupo wengi
Duu, basi bhana! Ngoja niuchape kidogo, weekend siamkagi saa tatu; labda kama MC anacheza! [emoji1][emoji1]
Hahahahaa tupo wengi
Unanifanya nitamani kusafiri mwee...Baada ya hapo ntamwekea my favourite song colonisation from madilu system
Uote unakimbizwa na marungu juu lazima ukichukie kitanda hahahaDuu, basi bhana! Ngoja niuchape kidogo, weekend siamkagi saa tatu; labda kama MC anacheza! [emoji1][emoji1]
Unanifanya nitamani kusafiri mwee...
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uote unakimbizwa na marungu juu lazima ukichukie kitanda hahaha
Kutoka kwa bulicheka na mkewe Elizabeth[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️ Huo u- Mwanamalundi alikufundisha Nani? [emoji15][emoji15][emoji124][emoji124]
Kutoka kwa bulicheka na mkewe Elizabeth
Mimi ni wa kijijini, swansea nimeijulia nilivyo kuja mjini juzi kati.Nikadhani wewe ni mshabiki wa Swansea!
MkuuMimi ni wa kijijini, swansea nimeijulia nilivyo kuja mjini juzi kati.
Hebu endelea kulala....
Mh! HayaBaada ya hapo ntamwekea my favourite song colonisation from madilu system
Asee safi mambo vipiPoa mkuu mzima wewe
Hahahahaha , chezea magu, mtachapa kila aina na hamtathubutu kuzipeleka kwa shop kupata kipande cha mkate..
Njema, mambo vipi mkuuZa jioni