myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
09:24
Vya siku hizi hata petrol vinavuta harufu yake kupata stimu,achilia mbali katoto ka miaka mitano kujua kila kitu kuhusu betting na stress zakeSisi enzi zetu tulipokuwa wanafunzi tulikuwa tunakula chips dume(mihogo), na juice ya miwa; hapo ni kama mshua hajakupa kitu cha kueleweka asubuhi cha kukupeleka pale kwenye viti virefu, Snow cream! Sasa kumbe watoto wa siku hizi wanabwia ugoro/tumbaku? [emoji23][emoji23]
Vya siku hizi hata petrol vinavuta harufu yake kupata stimu,achilia mbali katoto ka miaka mitano kujua kila kitu kuhusu betting na stress zake