Hahahha dah hata mm namsaka sana huyu mdau.Numbisa popote ulipojua nakutafuta maa,ukuje unitajie majina [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika wooooteeee umemuona andjul tu, lkn ww sijui ukoje.Wanafikia hatua ya Kuoana Humu Mwisho wao huwa Mbaya
Cc:andjul shem uko wapi?ubuyu wa zanzibar huu tena bado wamotoooo[emoji39][emoji39][emoji39]
Yaan sasa sijui nikuiteje, jirani wa home nadhani itafaa maana kwa ile historia ya siku ile kule nimeshajua ww sio under 18 kbs. Ww ni mhenga mkomavuView attachment 655390
Ooh, boy! [emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache mie na shemeji yanguKatika wooooteeee umemuona andjul tu, lkn ww sijui ukoje.
Kwakweli ubuyu wa leo ni balaa. Akija tutamsimulia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache mie na shemeji yangu
Halafu sijui yuko wapi walah!anapitwa hajui tu
Wanafikia hatua ya Kuoana Humu Mwisho wao huwa MbayaNumbisa popote ulipojua nakutafuta maa,ukuje unitajie majina [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ubuyu una code za hatari yaani hadi kichwa kinaumaKwakweli ubuyu wa leo ni balaa. Akija tutamsimulia.
Me hata hizo hisia sina,subiri niendelee kusoma labda naweza pata hisia[emoji23][emoji23][emoji23]
Loh, nimeanza nao muda lkn bila dah,kila naemuhisi mara anajitokeza kucomment,dahIla ubuyu una code za hatari yaani hadi kichwa kinauma